Apigwe benchiHuyu Dube ni wa kutemana nae tu.
Au sio kolo bin mbumbumbu.πΈπΈMpo kileleni sasa hahahaaa, mtakaa hapo kwa masaa 24 kama status ya whatsapp then mnyama atawafurusha mrudi kwenye kanafasi kenu pendwa ππ
Chama hanaga uchoyo,alitaka dube aondoke na mpira leo.sema bwege iloChama si angefunga
Punguzeni lawama kwa Dube mi binafsi pale sikuona chance angepiga wapi sasa
Anazingua sana yaaniHuyu Dube ni wa kutemana nae tu.
Mambo vipi ndugu πΈ....Kwasasa mbumbumbu hawaongelei tena goal different wanatafuta kichaka kipya
Baba akitoka nyumbani kiongozi anakua mama akirudi anakaa kwenye nafasi yakeπΈπΈMpo kileleni sasa hahahaaa, mtakaa hapo kwa masaa 24 kama status ya whatsapp then mnyama atawafurusha mrudi kwenye kanafasi kenu pendwa ππ
Kunywa sumuHawa wajinga wangekuwa wanacheza na mnyama, wangeahidiwa milioni 50 ungeona jinsi wanavyokomaa. Lakini sasa utopolo mtupu.
Tulia mwana mwakakundiAu sio kolo bin mbumbumbu.
Yes my faza mbumbumbuMambo vipi ndugu πΈ....
Nasikia unaongoza ligi leo tu, are you happy?
Yanga kuna wachezaji lazima tutemane nao.Anazingua sana yaani
Mnyama wa msimu huu huwa anardhika. Zikizidi sana tano, unless wawe wazembe mno.Hawa wajinga wangekuwa wanacheza na mnyama, wangeahidiwa milioni 50 ungeona jinsi wanavyokomaa. Lakini sasa utopolo mtupu.
Mama anakenua meno baba hajaja so ni kiongozi leoBaba akitoka nyumbani kiongozi anakua mama akirudi anakaa kwenye nafasi yake
Wala hajarogwa.Aliyemroga dube jamani inatosha mwoneeni huruma mnamdharirisha
Endelea kuenjoy kwa 24hrYes my faza mbumbumbu
Naunga mkono hojaYanga kuna wachezaji lazima tutemane nao.
1.Dube-huyu jina lake kubwa kuliko uwezo wake.
2.Boka-mambio tu akili za mpira hana.
Jobe angejuunga na Uto angewafaa kuliko huyu prince fakePrince mpumbavuleo Dube
Anafungwa Madrid πTarehe 5 mwezi wa 11 2023 mbumbumbu 1-5 yanga