Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Match Day
20250601_101629.jpg

Pyramids FC Vs Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025
2000hrs

VIKOSI VYA LEO
Pyramids
20250601_195913.jpg


Mamelodi
20250601_195919.jpg

Tukutane hapa kwa Updates zote Muhimu!!

Mchezo umeshaanza!

Fiston Mayele anawapatia goli safi Pyramids dakika 23

Dakika 7 zimeongezwa kufidia dakika zilizopotea

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimetamatika Pyramids 1 - 0 Mamelodi Sundowns

Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi sana

Gooooool Mahmoud Marei anatupia goli la 2 dakika, 56

Mechi inazidi kuwa nzuri katika dakika, 70

Mamelodi wanapata goli Iqraam Rayners dakika, 75

Zimeongezwa dakia 10 kukamilisha dakika 90 za kucheza

Pyramids wanakuwa mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika msimu wa 2024/2025 baada ya kupata ushindi wa jumla wa Goli 3 - 2 dhidi ya Mamelodi Sundowns

snapins-ai_3645583153535470345.jpg
 
Lolote limkute atayekosa bahati ingawa rohoni napenda timu....iwe Bingwa mpya CAF CL 2024/2025.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
nina uhakika Refa na VAR zitambeba mtoto wa bosi kama kawaida
 
Haya meusi yapigwe tu hakuna namna. Mengine yapo Tanzanite kwaraa mjini babati mkoani manyara yamegoma kurudi dar kutokana na kipigo cha mbwa mwizi yalichokipata jana. yamebaki kukodolea macho kombe moja tu nalo hayalipati.!
 
Back
Top Bottom