🤣🤣🤣 Babati - Dar ukiwa na makasiriko hiyo ni safari ndefu sana.Haya meusi yapigwe tu hakuna namna. Mengine yapo Tanzanite kwaraa mjini babati mkoani manyara yamegoma kurudi dar kutokana na kipigo cha mbwa mwizi yalichokipata jana. yamebaki kukodolea macho kombe moja tu nalo hayalipati.!
Waarabu wakitumia kigezo hicho hicho kuwashabikia Waarabu wenzao mnasema wanaukataa Uafrika.Kete yangu kwa weusi wenzetu masandawana
Kwa hiyo hii mechi ni saa mbili usiku ndiyo inaanza!Match Day
View attachment 3352573
Pyramids FC Vs Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025
2000hrs
Tukutane hapa kwa Updates zote Muhimu!!