Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Hapa najua mashabiki wengi wa yanga wanatamani pyramids washinde kwa sababu ya mayele na kuwalipia kisasi, cha ajabu eti lengo lao wawatambie simba kwamba mchezaji aliyetoka kwenye timu yao amebeba cafcl sasa sijui wao inawasaidia nini, wanasahau hata samatta alitoka simba akaenda kubeba cafcl akiwa na tp mazembe sasa sijui cha ajabu ni kipi