Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Kina Che malone Fondo wapo wengi upande wa Mamelodi.
 
Kama alivyojipigia Berkane juzi hapo.
Sasa berkane aliyekuwa na makombe mawili ya cafcc na hili la tatu unataka kumfananisha na yule usm alger ambaye hakuwahi kuchukua cafcc na ndio akalichukulia kwenu kwa mara ya kwanza, huko cafcl simba hata wawe wabovu kiasi gani hawajaishia hatua ya makundi mfano msimu uliopita tulishuhudia simba mbovu ambayo karibu kila shabiki aliikatia tamaa, lakini waliishia robo fainali sawa na yanga tu waliokuwa wanatupigia kelele kuwa wana kikosi bora na msimu huu ulipoanza pia mlidai mna kikosi bora na kipana, na mtafika fainali huko cafcl maana hakuna timu ya kuwafunga labda mcheze na malaika cha ajabu pamoja na kupangwa kwenye kundi jepesi lililojaa vibonde ambalo hata ninyi wenyewe mlifurahia kupangwa, lakini bado mmeishia makundi ilihali simba waliosema wanajenga timu huku wakianza msimu na wachezaji wapya zaidi ya nusu ila wamefika fainali ambayo ninyi mlifika mkiwa na kikosi bora na striker akiwa mayele
 
Mambo yakijaga kwenye simba na yanga kuna mbongo mnaziweka kando.
 
Timu ya Motsepe ifungwe tu. Kujikomba komba kwa waarabu haimsaidii
 
Sasa berkane aliyekuwa na makombe mawili ya cafcc na hili la tatu unataka kumfananisha na yule usm alger ambaye hakuwahi kuchukua cafcc na ndio akalichukulia kwenu kwa mara ya kwanza, huko cafcl simba hata wawe wabovu kiasi gani hawajaishia hatua ya makundi mfano msimu uliopita tulishuhudia simba mbovu ambayo karibu kila shabiki aliikatia tamaa, lakini waliishia robo fainali sawa na yanga tu waliokuwa wanatupigia kelele kuwa wana kikosi bora na msimu huu ulipoanza pia mlidai mna kikosi bora na kipana, na mtafika fainali huko cafcl maana hakuna timu ya kuwafunga labda mcheze na malaika cha ajabu pamoja na kupangwa kwenye kundi jepesi lililojaa vibonde ambalo hata ninyi wenyewe mlifurahia kupangwa, lakini bado mmeishia makundi ilihali simba waliosema wanajenga timu huku wakianza msimu na wachezaji wapya zaidi ya nusu ila wamefika fainali ambayo ninyi mlifika mkiwa na kikosi bora na striker akiwa mayele
Mbona maelezo marefu kolo.

Comment ziwe fupi fupi kama zangu.
 
Bila shaka unaijua Singida, hawana kombe lolote semhuse uzoefu kwenye ligi kubwa. mwisho wa yote mmeimba sare sare maua, RS Berkane...

Ndivyo mpira ulivyo...
 
Mark my word

Masandawane bingwa
 
Hii game ya leo PYRAMIDS wanacheza kwa tactics wamekubali kuwa second team,(yani wanawaacha mamelod wacheze mpira, ila wao watacheza wakipata nafasi.) kwahyo mamelod wasijichanganye wakaingia mtegon!
 
Sasa berkane aliyekuwa na makombe mawili ya cafcc na hili la tatu unataka kumfananisha na yule usm alger ambaye hakuwahi kuchukua cafcc na ndio akalichukulia kwenu kwa mara ya kwanza, huko cafcl simba hata wawe wabovu kiasi gani hawajaishia hatua ya makundi mfano msimu uliopita tulishuhudia simba mbovu ambayo karibu kila shabiki aliikatia tamaa, lakini waliishia robo fainali sawa na yanga tu waliokuwa wanatupigia kelele kuwa wana kikosi bora na msimu huu ulipoanza pia mlidai mna kikosi bora na kipana, na mtafika fainali huko cafcl maana hakuna timu ya kuwafunga labda mcheze na malaika cha ajabu pamoja na kupangwa kwenye kundi jepesi lililojaa vibonde ambalo hata ninyi wenyewe mlifurahia kupangwa, lakini bado mmeishia makundi ilihali simba waliosema wanajenga timu huku wakianza msimu na wachezaji wapya zaidi ya nusu ila wamefika fainali ambayo ninyi mlifika mkiwa na kikosi bora na striker akiwa mayele
Mkuu mbona makasiriko Simba kufika Robo fainali sio Mafanikio 😀,malengo Yao tangu 2021 ni kufika Nusu Fainali ambayo hajawai fika ... Mafanikio ni kupiga Hatua Nyie Kila siku mnaishia Hapo Hapo hayo Mafanikio au uzwazwa
..USM Alger Tim kubwa afrika ww ashawai fika fainali CAF champion league , Fainali na Yanga sio ya Kwanza

Tim ya Simba ni ya kawaida ila mashabiki mnaijaza inaonekana ya Moto kwl kwl mnakuwa kama Arsenal epl
 
Back
Top Bottom