Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Kabla ya dk ya 80 MAYELE anaongeza lingine napita tu
 
HIVI TSHIRT ZA SIMBA BINGWA ZIMEPELEKWA WAPI BAADA YA MECHI YA ZNZ

NAPITA TU
 
Hawa mamelod laana ya kuwazulumu yanga goli lao halali bado inawatafuna mpaka sasa
 
Ni wapi nimesema usm alger walicheza fainali ya kwanza na yanga nimesema kombe lao la kwanza la cafcc walilichukulia kwa yanga hawakuwahi kuchukua hapo kabla, hapo kwenye mashabiki kuijaza timu ionekane ya moto nafikiri umeongea kinyume mashabiki wa yanga ndio wenye tabia hiyo, na mafanikio yenu makubwa huwa ni kuwafunga simba na kufikia rekodi za simba tu mkiulizwa kimataifa mmefanya nini na mko nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mnaanza kuleta matusi na makasiriko tu
Sawa ila USM Alger ni Tim kubwa afrika sio wanyonge...Ukwl mbona usemwe mkuu Simba Ndio anaongoza kwa kelele Mjini ,Nani hapa anaongea Sana kuwa amefika Mbali CAF ingawa ana kikosi kibovu?Nani hapa anasema Tim Yake inafikaga Mbali kimataifa? Majibu unayo na Baki nayo

Mpira ni Uwekezaji mKuu,Simba mna kelele nyiingi alafu hamkubali kuambiwa udhaifu wenu mfano Simba kuishia Robo fainali sio Mafanikio vuka Hiko kizingiti Ndio uongee..Nakupa mfano pyramid tangu anunuliwe 2018 kafika fainali 2 Shirikisho Leo Club bingwa anabeba insha'Allah...

Nakuuliza maswali ya msingi
1.Pyramid CAF ranking WA ngapi
2.Kimataifa kafanya nn ambacho ww uliyejuu umemzidi
 
Back
Top Bottom