Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Ukumwangalia kama mjinga flan kha akiliangalia goli Lina....
 
Daah mwanetu Mayele atabeba kweli hii, maana Mamelod akipata moja hapa anabeba ndoo.
 
Marumo alikua ameshuka daraja
Kwenye mpira kuna mambo mawili tofauti
La kwanza ni current form na la pili ni historical form. Sasa wewe unataka kuleta mambo ya historical form kwenye mpira kitu ambacho sio sahihi, hukumu ya ubora upimwa na current form na sio ukubwa wa majina ya timu

Mfano ni Enyimba na Asante Kotoko ni timu ambazo ziliwahi kubeba mataji ya Africa ila ukaja kusema timu fulani imekutana na timu ngumu kwavile hizo timu ziliwahi kuchukua ubingwa mwaka 2005, n k hapo utakuwa hauongelei soka kwa zama za sasa bali ni kwa zama zilizopita. Angalia current form za timu na current form unaipata katika consistency ya matokeo katika mashindano ya ndani na ya kimataifa.
 
Sawa ila USM Alger ni Tim kubwa afrika sio wanyonge...Ukwl mbona usemwe mkuu Simba Ndio anaongoza kwa kelele Mjini ,Nani hapa anaongea Sana kuwa amefika Mbali CAF ingawa ana kikosi kibovu?Nani hapa anasema Tim Yake inafikaga Mbali kimataifa? Majibu unayo na Baki nayo

Mpira ni Uwekezaji mKuu,Simba mna kelele nyiingi alafu hamkubali kuambiwa udhaifu wenu mfano Simba kuishia Robo fainali sio Mafanikio vuka Hiko kizingiti Ndio uongee..Nakupa mfano pyramid tangu anunuliwe 2018 kafika fainali 2 Shirikisho Leo Club bingwa anabeba insha'Allah...

Nakuuliza maswali ya msingi
1.Pyramid CAF ranking WA ngapi
2.Kimataifa kafanya nn ambacho ww uliyejuu umemzidi
Oohh kwahiyo usm alger ni timu kubwa ila berkane ni timu ndogo siyo, sasa kama mnajua mpira ni uwekezaji na robo fainali cafcl siyo mafanikio yanga mna uwekezaji gani, na huko kimataifa mmefika wapi hadi muwacheke simba na kujiona mko juu ya simba maana kumbuka hapa tunalinganisha simba na yanga tu
 
Oohh kwahiyo usm alger ni timu kubwa ila berkane ni timu ndogo siyo, sasa kama mnajua mpira ni uwekezaji na robo fainali cafcl siyo mafanikio yanga mna uwekezaji gani, na huko kimataifa mmefika wapi hadi muwacheke simba na kujiona mko juu ya simba maana kumbuka hapa tunalinganisha simba na yanga tu
Utachoka kubishana na,hayo Mazuzu...
Just tell them we are in top 5...
 
Sasa berkane aliyekuwa na makombe mawili ya cafcc na hili la tatu unataka kumfananisha na yule usm alger ambaye hakuwahi kuchukua cafcc na ndio akalichukulia kwenu kwa mara ya kwanza, huko cafcl simba hata wawe wabovu kiasi gani hawajaishia hatua ya makundi mfano msimu uliopita tulishuhudia simba mbovu ambayo karibu kila shabiki aliikatia tamaa, lakini waliishia robo fainali sawa na yanga tu waliokuwa wanatupigia kelele kuwa wana kikosi bora na msimu huu ulipoanza pia mlidai mna kikosi bora na kipana, na mtafika fainali huko cafcl maana hakuna timu ya kuwafunga labda mcheze na malaika cha ajabu pamoja na kupangwa kwenye kundi jepesi lililojaa vibonde ambalo hata ninyi wenyewe mlifurahia kupangwa, lakini bado mmeishia makundi ilihali simba waliosema wanajenga timu huku wakianza msimu na wachezaji wapya zaidi ya nusu ila wamefika fainali ambayo ninyi mlifika mkiwa na kikosi bora na striker akiwa mayele
Daah hii comment ipiniwe hapo juu...
Umewachonyota wamebakia uchi hahahah
 
Back
Top Bottom