Hiki unachokisema hata wewe umekifanya hapa kama huyo mwenzio niliyetoka kumjibu uzuri mimi huwa najadili mpira kwa hoja na takwimu na siyo kwa ushabiki na mihemko, kuna mtu alisema eti simba msimu huu imecheza na timu mbovu cafcc tofauti na yanga iliyocheza na timu bora na mabingwa wa ligi zao, nikamuambia aweke takwimu za timu walizocheza na yanga kwa huo msimu nami nimuwekee takwimu za timu walizocheza na simba kwa msimu huu akaingia mitini hadi leo hajanijibu, huko cafcl simba imeshacheza na timu ngumu na zilizowahi kuchukua hilo kombe na bado hawajaishia makundi ila yanga msimu huu wametolewa makundi na timu ambazo hazijawahi kuchukua hilo kombe, na wala hazina uzoefu wa hiyo michuano na ukitaka kujua jinsi gani wale jamaa mliocheza nao walikuwa vibonde wote wawili hawajafika mbali wameishia robo fainali tu