Hivi nyie akili zenu mnaziachaga nje nini? Mnataka mlipiwe kisasi na,wenzenu nyie mbona,hamjafika huko fainali??Bado nina kisasi na Mamelodi.
Natamani wapigwe kama ngoma
Walikuwa Bado kufungwa 😂😂Walikuwa wapi kucheza hivi muda wote?
Mayele amepoteza nafasi 2 ikiwemo hii aliyopigwa push ya mwishoMa VAR ndio yanaharibu yamekuwa ya mchongo sana
Lakini kitendo cha hii timu ya kawaida ya simba kufika mbali mpaka kucheza fainali ya shirikisho inafikirisha zaidiMkuu mbona makasiriko Simba kufika Robo fainali sio Mafanikio 😀,malengo Yao tangu 2021 ni kufika Nusu Fainali ambayo hajawai fika ... Mafanikio ni kupiga Hatua Nyie Kila siku mnaishia Hapo Hapo hayo Mafanikio au uzwazwa
..USM Alger Tim kubwa afrika ww ashawai fika fainali CAF champion league , Fainali na Yanga sio ya Kwanza
Tim ya Simba ni ya kawaida ila mashabiki mnaijaza inaonekana ya Moto kwl kwl mnakuwa kama Arsenal epl
Malengo ya Simba Shirikisho ni kubeba taji ,club bingwa ni kufika Nusu Fainali kama kuna alilotimiza litaje apaLakini kitendo cha hii timu ya kawaida ya simba kufika mbali mpaka kucheza fainali ya shirikisho inafikirisha zaidi