Goli lile la dakika za mwisho kule sauz ndio limeleta majangaThey failed
Goli lile la dakika za mwisho kule sauz ndio limeleta majangaThey failed
Huku fitna ya kulogana na uchawii...Hizi Simba na Yanga wajue mpira unahitaji fedha ili uwe na timu imara pamoja na miundombinu bora.
PSG, Pyramids, Man City, Chelsea. Hii ni mifano tu ya timu zilizowekeza.
Kwamba nyie ni kina nani...mamelod wana makombe 2 kama sio moja tayari ya caf champions ligi...wamefika fainali ww una nini...? Mmebakiza laana kama ma Ajuza...mamelodi kwa wizi alioifanyia yanga hawezi kubeba Kombe.
Tupo na Mayele
PumbavuUbaguzi si mzuri ila for black solidarity let Mamelod secure it
Plus kafara za wanyama vibudu kesho yake wananywea supuWataalamu wa kuloga kwa vichwa vya mbuzi
Anacheza namba 2 na 7 Kwa pamoja.Amekaba sana
Wee unacheza kwanza ili watu wakigoma ww ndie uwe mchezaji halafu uwalaumu wazungu ndio walio zigawa hz nchi kuwaleta Arabs afrikaMpaka lini waarabu wataendelea kutunyanyasa? Inasikitisha sana, imefika mda nchi zetu za ki bantu tugome moja kwa moja kushindana na waarabu, kwanini hawendi wakajiunge na waarabu wenzao akina AL Nasir na Al hilal? ni uonevu tu
Kabisa kabisaaa mzee..Kongole kwa mzee bakhresa
Kwamba nyie ni kina nani...mamelod wana makombe 2 kama sio moja tayari ya caf champions ligi...wamefika fainali ww una nini...? Mmebakiza laana kama ma Ajuza...
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Unarushiwa majini mahaba ...anayekurushia ni masikiniHuku fitna ya kulogana na uchawii...
Wakati magori anapiga kelele mlimuona mwehu EEH...Mpaka lini waarabu wataendelea kutunyanyasa? Inasikitisha sana, imefika mda nchi zetu za ki bantu tugome moja kwa moja kushindana na waarabu, kwanini hawendi wakajiunge na waarabu wenzao akina AL Nasir na Al hilal? ni uonevu tu