Wamesema wataenda CAS ya kwenye ofisi za Kisutu.Jiandaeni tena kwenda CAS kama hamtaleta timu.
Wamesema wataenda CAS ya kwenye ofisi za Kisutu.Jiandaeni tena kwenda CAS kama hamtaleta timu.
Sasa kama mnajua timu haihukumiwi kwa historical records pekee kwanini yanga mkiona simba wamewazidi mahali mnakimbilia kuleta habari za makombe mengi ya ligi kuliko simba, haya tuzungumzie current form kwa msimu huu yanga mmewazidi nini simba tukija kwenye ligi ya ndani mnaongoza kwa tofauti ya point moja, ambapo hadi sasa bado hamna uhakika wa kuchukua ubingwa na kwa asilimia kubwa mechi ya derby ndio itaamua nani awe bingwa, tukija kimataifa simba wako kwenye nafasi ya tano kwenye caf ranking ilihali yanga wako nafasi ya kumi na moja simba wamefika fainali cafcc na wamepoteza mbele ya berkane, ambaye msimu huu ni bingwa wa ligi ya morocco ambayo ni ligi ya pili kwa ubora africa na pia berkane ni mzoefu wa hiyo michuano na ana makombe mawili ya cafcc, ila yanga ameshindwa kuvuka kundi rahisi mbele ya mc alger na al hilal ambao siyo wazoefu wa hiyo michuano na ndio maana wote wameishia robo fainali, sasa hebu niambie huo ubora wa yanga kwa simba uko wapi hasa kiujumla au ninyi mnaangalia majina ya wachezaji na mbwembwe zao uwanjaniKwenye mpira kuna mambo mawili tofauti
La kwanza ni current form na la pili ni historical form. Sasa wewe unataka kuleta mambo ya historical form kwenye mpira kitu ambacho sio sahihi, hukumu ya ubora upimwa na current form na sio ukubwa wa majina ya timu
Mfano ni Enyimba na Asante Kotoko ni timu ambazo ziliwahi kubeba mataji ya Africa ila ukaja kusema timu fulani imekutana na timu ngumu kwavile hizo timu ziliwahi kuchukua ubingwa mwaka 2005, n k hapo utakuwa hauongelei soka kwa zama za sasa bali ni kwa zama zilizopita. Angalia current form za timu na current form unaipata katika consistency ya matokeo katika mashindano ya ndani na ya kimataifa.
Kwahiyo unamshabikia mayele na sio whole team!For Mayele, Pyramid ashinde.
nina uhakika Refa na VAR zitambeba mtoto wa bosi kama kawaida
Akafie huko, sisi kama Pyramids nasema hivii waarabu oyeeeeeeeeeeeeMamelodi kila la kheri kwake.
Japo Mwenye team alituumiza Simba, nimemsamehee.
Khaaaah!!Pole sana, kila siku ni kuumizwa tu mwaka mzima!!
Hayo malengo ni kwa mujibu wa nani mbona kama mashabiki wa yanga ndio mnawasemea simba, malengo ya simba yalikuwa ni kuvuka robo fainali either cafcl au cafcc ili hilo jina la mwakarobo life na walishasema kuwa msimu huu wanajenga timu bado hawana timu ya kubeba kombe lolote la caf, huko kwingine walipofika ndio wakatamani wabebe kombe kama ambavyo timu yoyote ingetamani ila si kwamba ndio yalikuwa malengo yao toka mwanzo, yanga msimu huu ndio mlikuwa na malengo ya kucheza fainali cafcl na mkadai kwamba msimu huu hakuna timu ya kuwasumbua africa labda mcheze na malaika haya je mmetimiza hayo malengo yenu, ninyi siku zote malengo yenu ni kuwafunga simba na kufikia rekodi za simba hili hata msemaji wenu aliwahi kudhihirisha kwa kusema walikuwa wanaumia kuona wamezidiwa kwenye caf ranking na simba hivyo msimu huu wanaenda kufyeka hicho kichaka matokeo yake mlipoishia makundi ghafla fyekeo likawa butuMalengo ya Simba Shirikisho ni kubeba taji ,club bingwa ni kufika Nusu Fainali kama kuna alilotimiza litaje apa
Wachaaa wee, 😂😂😂😂Akafie huko, sisi kama Pyramids nasema hivii waarabu oyeeeeeeeeeeee
😂😂😂😂😂.Hayo malengo ni kwa mujibu wa nani mbona kama mashabiki wa yanga ndio mnawasemea simba, malengo ya simba yalikuwa ni kuvuka robo fainali either cafcl au cafcc ili hilo jina la mwakarobo life na walishasema kuwa msimu huu wanajenga timu bado hawana timu ya kubeba kombe lolote la caf, huko kwingine walipofika ndio wakatamani wabebe kombe kama ambavyo timu yoyote ingetamani ila si kwamba ndio yalikuwa malengo yao toka mwanzo, yanga msimu huu ndio mlikuwa na malengo ya kucheza fainali cafcl na mkadai kwamba msimu huu hakuna timu ya kuwasumbua africa labda mcheze na malaika haya je mmetimiza hayo malengo yenu, ninyi siku zote malengo yenu ni kuwafunga simba na kufikia rekodi za simba hili hata msemaji wenu aliwahi kudhihirisha kwa kusema walikuwa wanaumia kuona wamezidiwa kwenye caf ranking na simba hivyo msimu huu wanaenda kufyeka hicho kichaka matokeo yake mlipoishia makundi ghafla fyekeo likawa butu
Sasa mbona hujajibu hoja zangu matokeo yake unanilisha maneno, yanga ana kipi cha kumzidi simba mbona unajitoa ufahamu au na ninyi mnalo hilo kombe, nimekuambia hapa tunalinganisha simba na yanga wewe unaniletea habari za pyramids hivi umeelewa hata madaPyramid umemzidi Robo fainali, CAF ranking, Uwekezaji ila ni bingwa WA CAF champion league Una kipi chakusema maana Ni hoja zako Sana
Sidhani kama mchezaji mmoja pekee anaweza kucheza dhidi ya wachezaji kumi na moja wa timu pinzani.Kwahiyo unamshabikia mayele na sio whole team!
Goli la mamelodi naskia ni offside, nikweli!
Ndio sehemu pekee wanayoweza kujifariji wafanyeje sasaMi uto pale inapojipa umuhimu wa Mchezaji ambae sio wao...
Walimtupia majini...
Leo wanaona ndo kama vile wao...hahahaaa huzuni
Umepqnick sana mrembo...Sina cha kupoteza hapa....
Mamelod mkome na huyo Rais wenu ambae ametufanyia figisu za uwanja na yule Lakjee wake...
Nyie pyramid mtajijua Sipendi timu yoyote ya kiarabu....
Sijakulazimisha upende comment yangu...