Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Duuuh dk 6 za Nyongeza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wachezaji wa simba kama watacheza kitimu na kujua mfungaji yoyote Ni ushindi Kwa timu nzima basi watafanikiwa
Mana Naona kama kuna ubinafsi wa pasi za mwisho
Mtazamo.
 
Simba is overrated,goli za wazi nyingi mnooo.. lakini wameshindwq kuzitumia.
 
Huko Mkapa msivunje tu viti vyetu wala kujisadia hovyo kwenye vyoo vyetu [emoji25][emoji25][emoji25][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Lee
Nafasi ni nyingi mno umakin na mawazo ya kuwah kushangilia kabla hujafunga ndio kinawasumbua wachezaji wetu ila hawa weupe kabisaa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…