Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Morrison mwehu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa uchezaji wa Kaizer leo goli Tano zilikuwa zinapatikana kabisa, ila kwa huu utumbo wa wachezaji wa Simba sioni magoli yakipatikana.
 
Reactions: mmh
Simba hawajaniridhisha this first half, goli tatu zilikuwepo pale.
 
Simba watakuwa walianza na 4-4-2 baadae waka change wakaenda 3-5-2, ndio maana tumewashambulia sana jamaa sababu tumejaza watu wengi mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…