Kabisa mkuu,hii game ni ya simba leo..watajilaumu sana.wamecheza vizuri,wametengeneza nafasi nyingi za wazi..lakini washambuliaji wameshindwa kuzitumiaMugalu auzwe tu....mzito kama nini....Simba haina mshabuliaji kabisa
haswa mugalu.. kagere aingieFoward za Simba ni mataqo mataqo
Tushaumaliza mchezo Bagamoyo
Twendeni tukaangalie highlight kwa Mkapa
ingetakiwa at least 2 bila half timeGoli nne tunapachika kipimdi hiki cha pili
Termination round
Atleast zingekuwepo goli mbili mpk sasa, nafasi walizopoteza nyingi sanaSo far so good. Tempo ya juu Sana. Shoot 11
Mkuu tulimaliza kazi lakini hatukujua kama wenzetu nao walifanya la kwao.Mganga anasemaje mpk sasa
Anaingiaje Kagere Wakati mmemaliza Sub Mkuu au Kumbu² Hauna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa jamaa washalegea, kifuatacho ITV ni kututolea mugalu, aingie kagere.
Sio kushinda,sema kutolewa.tulieni hate tusiposhinda.
kupigwa goli 4 ugenini ni nyingi Sana.