Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Walau wasifunge hapa nchiniHii game naona tunatoka kizeembe halafu tubaki na furaha isiyo na maana..
Hata tukiwafunga halafu tukatoka haina maana.
Kwanza morali ya wachezaji iko chini.. Wachezaji wetu hawajui umuhimu wa nafasi moja moja hili ni tatizo haswa..
Strikers zetu hawako makini.. Tuna double strikers lakini wameshindwa kujipanga haswa katika mipira ya juu, maadui wanacheza wao tu mipira ya juu ndani ya box
Zimepungua tena sio nneAngalau tupate tatu tuingie penati
acha zako utajir wa messi sio wa kufananisha na hyo ng'ombeMo si anepesa, kwanini asimtumie leo messi private jet muda huu aje kuokoa jaazi
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Haungalii mpira labda,linapigwa bila biriani sio la nchi hii.hakuna pira biriani
Kadri muda unavyokwenda timu mbele inakufa nguvu, morali inashuka.. [emoji22]Sikutegemea amuanzishe Mugalu, kwa maoni yangu hii game ilihitaji mtu mwenye acceleration ya kutosha, na Kagere anayo, Mugalu is too static.
kabisa.Angalau tupate tatu tuingie penati
Ndumba mkuu.Hawa ni wa kawaida sana sijui walitupigaje 4
Merekh na Vita ni bora zaidi kuliko hawa
Hayo ndio ninayoyasemea [emoji23]Walau wasifunge hapa nchini