Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Hawa ni wa kawaida sana sijui walitupigaje 4

Merekh na Vita ni bora zaidi kuliko hawa
 
Haya Majamaa Ya Keizer Chief's Wanaeacheza Mpaka Kutoka Australia Ila Hakuna Kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza morali ya wachezaji iko chini.. Wachezaji wetu hawajui umuhimu wa nafasi moja moja hili ni tatizo haswa..

Strikers zetu hawako makini.. Tuna double strikers lakini wameshindwa kujipanga haswa katika mipira ya juu, maadui wanacheza wao tu mipira ya juu ndani ya box

na hawajui kutumia nafasi, nina uhakika wenzetu wakipata nafasi wataitumia yaani tukitolewa hii mechi lawama kwa wachezaji.

Siamini kama tunatolewa aisee
 
Mugalu kweli ananukusi sana na mchawi mbona hawamtoe.Angetoka tungekuwa na magoli 4 hana mawasiliano na hajitumi.Akiendelea kubebwa kubaki na kocha tumekisha.
 
Sikutegemea amuanzishe Mugalu, kwa maoni yangu hii game ilihitaji mtu mwenye acceleration ya kutosha, na Kagere anayo, Mugalu is too static.
Kadri muda unavyokwenda timu mbele inakufa nguvu, morali inashuka.. [emoji22]

Coach haoni hili.. Kagere ni amsha amsha na angeijaribu pair ya kagere na boko huko nyuma ilifany vizuri.
 
Back
Top Bottom