Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Mpira kama huu ukipigwa julai 3 kuna vibopa watakufa goli 10
 
Pole mkuu ila nakushauri utoke huko Asenali nenda timu nyingine
Kutoka ndio hapatokeki ndugu yangu, siku hizi moyo umekuwa baridi tu kwa arsenal ishinde sawa, idroo sawa, ifungwe najionea yale yale tu.
 
Hili kosi Linatakiwa libaki kama lilivyo au kama mabadiliko basi kidogo sana....Mtu kama Kennedy Jumla Unamuachaje jinsi alivyoziba KABISA pengo la Onyango...
 
Haya Sasa.
Tunarudi kwenye KOMBE letu
Utopolo mnarudi wapi?
 
Tunaweka bilion 4 kibindoni na hivyo vi madafu vya tff navyo tunashida navyo na mwakani tunakuja kwa speed ya light
 
Mapenzi ya mpira bora nioe nihamishie kwa mama watoto tu.. Hizo game zilinilaza tongo macho.
 
Mpira wa kichawi nan haujui?kwani kwenye ligi msimu uliopita ulifanya nn kwa mwananchi
Nilikuchapa bao nne unakumbuka?

Piga hesabu soka ambalo ulilochezewa siku ile haliingii hata robo kwa pira nililocheza leo

Sasa unaweza ukapata idadi sawia ni mabao mangapi utapigwa endapo ukipigiwa kandanda kama ya leo hiyo julai 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…