Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Timu ya kwenda nusu fainal iko wap?endeleen kuoga labda game itarudiwayaan hana deciosio mbele ya goli. utafikiri lord bentner wa arsenal.
mwili upo ila akil 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya kwenda nusu fainal iko wap?endeleen kuoga labda game itarudiwayaan hana deciosio mbele ya goli. utafikiri lord bentner wa arsenal.
mwili upo ila akil 0
Ni mjinga pekee anaweza kuchukia mafanikio yake mwenyeweMikia wanahasira sana leo
Kutoka ndio hapatokeki ndugu yangu, siku hizi moyo umekuwa baridi tu kwa arsenal ishinde sawa, idroo sawa, ifungwe najionea yale yale tu.Pole mkuu ila nakushauri utoke huko Asenali nenda timu nyingine
Unaonaje angekuwa na bwalya au Kagere Mugalu outboko ameupiga leo jmn. he was on peak form.
Wametenga muda mzuri wa kuwapa mashabiki wa yanga wajiandae kisaikolojiaKumbe ni july ??? Mbona mbali sana
Uchawi wenu umefanya pumbafffff.
Mpira wa kichawi nan haujui?kwani kwenye ligi msimu uliopita ulifanya nn kwa mwananchiMpira kama huu ukipigwa julai 3 kuna vibopa watakufa goli 10
Karibuni kupata huduma za mabasi ya KimbinyikoMpira kama huu ukipigwa julai 3 kuna vibopa watakufa goli 10
Punguza hasira mkia mlitaka kumtoa roho lwanga ili tu mpite?wauaji nyieBasi nyie yanga mtaenda kubeba klab bingwa afrika mana mmepita mmeenda nusu fainali fools
Mapenzi ya mpira bora nioe nihamishie kwa mama watoto tu.. Hizo game zilinilaza tongo macho.Lehman anapewa red card baada ya kumuangusha Etoo then wajinga wanapewa na penati, it was bad and a curse to Arsenal FC, hawajaenda fainali nyingine ya UEFA tena!.
Game moja Atletico ameongoza 1-0 muda mrefu thn dkk za mwisho Real wanapata kona Ramos anapiga kichwa jamaa wanasawazisha, thn Atletico wakapoteana kbs, extra time wakafa 4 - 1, huu mpira tuupende tu ila ukatili wake...
Nilikuchapa bao nne unakumbuka?Mpira wa kichawi nan haujui?kwani kwenye ligi msimu uliopita ulifanya nn kwa mwananchi
Simba ni nn?sema mikia twende sawa,mmetolewa kwa kutojua mpira?kama unajua ungepita full stopHivi mechi ya leo bado kuna utopolo anai diss simba?
Mwakani corona itakuwa imeisha, hatataweza kuwasingizia watu kuwa wana corona, hivyo hata kuvuka makundi ni hati hati.Tunaweka bilion 4 kibindoni na hivyo vi madafu vya tff navyo tunashida navyo na mwakani tunakuja kwa speed ya light
Simba kushindwa kusogea mbele katika hali inayowezekanaUmeumia kisa kuchaniwa mkeka na Simba Sc, au umeumia kwakuwa Simba haisongi mbele?? Mzee kide.