Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Pole mkuu ila nakushauri utoke huko Asenali nenda timu nyingine
Kutoka ndio hapatokeki ndugu yangu, siku hizi moyo umekuwa baridi tu kwa arsenal ishinde sawa, idroo sawa, ifungwe najionea yale yale tu.
 
Hili kosi Linatakiwa libaki kama lilivyo au kama mabadiliko basi kidogo sana....Mtu kama Kennedy Jumla Unamuachaje jinsi alivyoziba KABISA pengo la Onyango...
 
Tunaweka bilion 4 kibindoni na hivyo vi madafu vya tff navyo tunashida navyo na mwakani tunakuja kwa speed ya light
 
Lehman anapewa red card baada ya kumuangusha Etoo then wajinga wanapewa na penati, it was bad and a curse to Arsenal FC, hawajaenda fainali nyingine ya UEFA tena!.

Game moja Atletico ameongoza 1-0 muda mrefu thn dkk za mwisho Real wanapata kona Ramos anapiga kichwa jamaa wanasawazisha, thn Atletico wakapoteana kbs, extra time wakafa 4 - 1, huu mpira tuupende tu ila ukatili wake...
Mapenzi ya mpira bora nioe nihamishie kwa mama watoto tu.. Hizo game zilinilaza tongo macho.
 
Mpira wa kichawi nan haujui?kwani kwenye ligi msimu uliopita ulifanya nn kwa mwananchi
Nilikuchapa bao nne unakumbuka?

Piga hesabu soka ambalo ulilochezewa siku ile haliingii hata robo kwa pira nililocheza leo

Sasa unaweza ukapata idadi sawia ni mabao mangapi utapigwa endapo ukipigiwa kandanda kama ya leo hiyo julai 3
 
Back
Top Bottom