Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Simba bhana! Yaani unakubali tu kupigwa goli 4 ugenini! Tena kwa ubuyu!! Ona sasa mashabiki wao walivyo tepeta!

Bora hata wangeachia kagoli kamoja tu!! 4G!!! Maana yake wana 20% tu ya kufuzu, huku wapinzani wao wakiwa na 80%!
 
Leo Simba hatuna cha kupoteza hivyo tutajitoa kupambana bila woga wowote hatuwezi kukaa nyuma kulinda kwasababu haina faida yoyote kwetu hapa ni kushambulia tu na si kingine.
Sasa na wale wababu wenu akina Onyango kule nyuma mkipigwa Counter Attack, si mtapigwa mkono nyinyi!! Halafu mtuletee tu fedheha!
 
Mbona saa kumi inachelewa aisee watu wakapigwe vitu vizito kichwani tena!

Simba SC wakiwasili Uwanjani kwa mechi dhidi ya Kaizer Chiefs

Hiyo Simba SC wawakilishi wa Tanzania ktk mashindano ya CAF Champion league, safari hii Simba inaingia uwanjani kwa wakati muafaka kabisa kupindua matokeo, huku historia ikiwabeba kwa kazi hiyo mashabiki wa mtaa wa Msimbazi makao makuu ya Klabu ya Simba wanakumbushia.

 
Jamani wangoni tutambuaeni,leo tuna rudi kwenye asili yetu 😎😎😎.
 
Sasa na wale wababu wenu akina Onyango kule nyuma mkipigwa Counter Attack, si mtapigwa mkono nyinyi!! Halafu mtuletee tu fedheha!
Wewe usiye leta fedhaha uko wapi na unacheza lini robo fainal yako?

Hao hao mababu ndio walio tufikisha robo fainal so hata wakifungwa leo hakuna tatizo.
 
Hapo mbona rahisi sana goal saba zenu mnazipata[emoji23]

Badala ya kupindua meza, meza inawapindukia wenyewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Meza inawapindukia si kupindua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…