Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

1st Half | Simba vs Kaizer Chiefs | Caf Highlights​

Source : Diski tube
 
Ila uchawi kweli upo ..
Yani hawa Kaizer kama sio wale kabisaaa wametepeta mno hata pasi tano hawapigi
 
kabisaa yaani haina maana tumepoteza nafasi nyingi, Simba sijui wamekutwa na nini
Kwanza morali ya wachezaji iko chini.. Wachezaji wetu hawajui umuhimu wa nafasi moja moja hili ni tatizo haswa..

Strikers zetu hawako makini.. Tuna double strikers lakini wameshindwa kujipanga haswa katika mipira ya juu, maadui wanacheza wao tu mipira ya juu ndani ya box
 
Back
Top Bottom