Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio uhalisia wenyewe..Nilitaka kuandika kama wewe ila em tuendelee kuwa na hop mkuu.
Hata hapa Simba wamepambana sana mkuu, wanastahili pongeziNguvu Moja, Mungu nifute machozi baba wa mbinguni
utopolism huyoRohombaya fc akiwa kibaruani
Na alegeePepo toka
Naona mmekuja mlokuwa hamkoment kabisaNguvu Moja, Mungu nifute machozi baba wa mbinguni
Hii game naona tunatoka kizeembe halafu tubaki na furaha isiyo na maana..
Hata tukiwafunga halafu tukatoka haina maana.
Jamaa boya sana.Bocco angekuwa na Hat-trick now
Kwanza morali ya wachezaji iko chini.. Wachezaji wetu hawajui umuhimu wa nafasi moja moja hili ni tatizo haswa..kabisaa yaani haina maana tumepoteza nafasi nyingi, Simba sijui wamekutwa na nini
Sikutegemea amuanzishe Mugalu, kwa maoni yangu hii game ilihitaji mtu mwenye acceleration ya kutosha, na Kagere anayo, Mugalu is too static.Huo ndio uhalisia wenyewe..
Kocha awe na roho ngumu ajaribu na kagere naona mugalu kuna vitu kakosa..