Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Hawa walituweza kule kule kwao, ile mistake ni kubwa saana tuliifamya kule.
 
Kadri muda unavyokwenda timu mbele inakufa nguvu, morali inashuka.. [emoji22]

Coach haoni hili.. Kagere ni amsha amsha na angeijaribu pair ya kagere na boko huko nyuma ilifany vizuri.
Kocha ananiangusha sana, sijui Kagere ana shida gani, hizi dkk zake kbs atoe Mugalu
 
Kocha ananiangusha sana, sijui Kagere ana shida gani, hizi dkk zake kbs atoe Mugalu
Kocha kaishavurugikiwa, ukiwa kwenye benchi na upo katikanhali km hii unavurugika mnoo, nadhani ni wakati wa wasaidizi wake kumuazimisha maarifa.
 
Kwa wale wa DStv chanel 270. ..ndo mchongo ulipo
 
Huu ndio ulikuwa msimu wetu wa kufika nusu fainali.. Mwisho wa siku wanaenda hawa wazembe.. Ona kitakacjowakuta huko nusu fainali
 
Back
Top Bottom