FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

Imawezekana Simba imerudi kwenye ubora wake. Tuone mzunguko wa pili wa NBC primier league
Simba muda wote ipo kwenye ubora wake

Kinachofanya tuone kwamba iko chini ya kiwango ni moja ya technique ya kumpa matumaini mpinzani ajione bora ajisahu

Mayele alitumia miezi kutengeneza magoli matatu, mwenzake boko katumia dakika 35 tu
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa kuna goli 3 ni matokeo ya ubovu wa waamuzi wetu goli la 1, goli la 4 na 5 ni offside za wazi kabisa
 
Simba muda wote ipo kwenye ubora wake

Kinachofanya tuone kwamba iko chini ya kiwango ni moja ya technique ya kumpa matumaini mpinzani ajione bora ajisahu

Mayele alitumia miezi kutengeneza magoli matatu, mwenzake boko katumia dakika 35 tu
Simba ni bora kwA waamuzi wapuuzi tu goli za offside, penati na red card tofauti na hapo hakuna timu
 
Simba muda wote ipo kwenye ubora wake

Kinachofanya tuone kwamba iko chini ya kiwango ni moja ya technique ya kumpa matumaini mpinzani ajione bora ajisahu

Mayele alitumia miezi kutengeneza magoli matatu, mwenzake boko katumia dakika 35 tu
Alafu zote za offside hahahahaha
 
[emoji41][emoji41]
20220216_195449.jpeg
 
Back
Top Bottom