park don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 4,923
- 7,048
Usiwaze kesho mtayasema kwenye press yenuHapa kuna goli 3 ni matokeo ya ubovu wa waamuzi wetu goli la 1, goli la 4 na 5 ni offside za wazi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwaze kesho mtayasema kwenye press yenuHapa kuna goli 3 ni matokeo ya ubovu wa waamuzi wetu goli la 1, goli la 4 na 5 ni offside za wazi kabisa
Wataenda fifa trip hii maana si kwa Simba hii .....[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]kikaooo kimoja tu watu wanakula magoli ya kutosha sasa tukiitisha cha pili si watu watakua wanakimbia hata hatujacheza nao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kesho lazm waitishe press conference
Aisee unamatatizo ya macho?Boko nambie goli gani hakuwa ameotea
Goli la kwanza alikuwa kaotea ubovu wa waamuzi wetu, goli la 4 mpiga cross alikuwa kaotea pia yaan ni upuuzi mtupu
Nakwambia Kuna watu huko tumbo joto wanatamani kulia aisee 🤣😂 wataitisha sana press za kulia liaNaona Simba wanaendeleza tabia yao ya kurudi kwenye ubora wao round ya pili.
KumbecUtopolo Mkwasa ni kocha kiwete!Makolo wanacheza na viwete
Si kulia tu, kuna ambao wanapumua kwa shida huko..!Nakwambia Kuna watu huko tumbo joto wanatamani kulia aisee [emoji1787][emoji23] wataitisha sana press za kulia lia
Na wazee wa simba pia wamezindua miguu ya wachezajiKilee kikao Cha mo kinaleta majibu
***** walai.Moto wa ubovu wa marefa ama moto you?
Mbovu wa macho sio utaamini nayo kwambia wakifanya marudio (uchambuzi) kwangu mimi goli la kichwa liko sawa hata goli la chama aliyempa cross alikuwa kazidi wakati anapokea mpiraAisee unamatatizo ya macho?
Au temeke ni mbali kutoka ulipo
KalaleSasa ni half time mechi kati ya simba na Ruvu shooting..tatizo sio simba lakini najiuliza
kwanini hawa barcelona ya bongo hawana ari ya mchezo? Kwanini hawakabi?
Kwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?
Kwa style hii ina maana mechi hii itaisha kwa goli ushindi wa simba kwa goli 12+
Game hii kwangu ni moja ya game mbovu kabisa kuwahi kushuhudia hapa Tz
Bado nimebaki na maswali mengi ni nini kimetokea...kwa kuifahamu simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana ..na hilo hata wana simba wenyewe wanalijua..
Wacha tusubiri 2nd halftuone kitakachofuata..lakini mpira hakuna hapa leo...
Mpira wa upande mmoja?au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Any way..
Tusubiri.
Tutakutana tu na sisi nyie...tuone mtakapotokeaSasa ulitarajia nini, ASEC afe Ruvu wapone?? Sasahivi ni dozi tu.
Unateseka ukiwa wapi mkuu?Sasa ni half time mechi kati ya simba na Ruvu shooting..tatizo sio simba lakini najiuliza
kwanini hawa barcelona ya bongo hawana ari ya mchezo? Kwanini hawakabi?
Kwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?
Kwa style hii ina maana mechi hii itaisha kwa goli ushindi wa simba kwa goli 12+
Game hii kwangu ni moja ya game mbovu kabisa kuwahi kushuhudia hapa Tz
Bado nimebaki na maswali mengi ni nini kimetokea...kwa kuifahamu simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana ..na hilo hata wana simba wenyewe wanalijua..
Wacha tusubiri 2nd halftuone kitakachofuata..lakini mpira hakuna hapa leo...
Mpira wa upande mmoja?au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Any way..
Tusubiri.
Ubovu wa waamuzi unauona lakini***** walai.
nilijua tu kama uta ni-reply.
Inamaana wewe moto wa Simba auoni,ngoja tukukute final ya f.a au mzunguko wa pili tukuonyeshe.