FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

Mi ni mkali kama huamini bus, kwenye hii safari nipo ndani ya mini bus../

Yanini hasi mi namawazo chanya, na huu ubaya niliuwanza kitambo sana.../
Tatizo unamchukia mayele, na unajua ndo forward bora/
Unataka tumsifie kagele, wakati kashadorola/
Mugalu kawa masele, chati washampora,
Angalau boko kapiga ndele, anafunga goli kwa ukora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…