JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Sawa. Ila yangetakiwa yaongezeke kwenye 0-4 sio 0-1. Wanatengeneza nafasi nzuri sana ila hawafungi.Dk bado nyiiiingi, we subiri magoli yataongezwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Ila yangetakiwa yaongezeke kwenye 0-4 sio 0-1. Wanatengeneza nafasi nzuri sana ila hawafungi.Dk bado nyiiiingi, we subiri magoli yataongezwa tu
Hatari sana wamekosa magoli mengiSimba haina wafungaji. Ilitakiwa iwe 0-4, dirisha kubwa wasajili washambuliaji hata wawili hatari.
Biashara asubuhi mkuuDk bado nyiiiingi, we subiri magoli yataongezwa tu
Wanahitaji mfungaji ambaye akipata nafasi anafunga.Hatari sana wamekosa magoli mengi
Na Ruvu wanakuja sio wabaya sana hawaWanahitaji mfungaji ambaye akipata nafasi anafunga.
Unataka bao ngapi ili utosheke?Kamoja hakatoshi
Labda 20Unataka bao ngapi ili utosheke?
Ingekuwa Yanga angeipiga yule babu yao.22'
Simba inapata freekick nje kidogo na box
Wepesi sana kwa simba. Ni vile simba hawafungi ila wangekuwa wameshapaniki.Na Ruvu wanakuja sio wabaya sana hawa