Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

Kufungwa ni kufungwa tu, iwe kwa Penalty au kwa magoli ya kawaida tu. Timu ya mpira imekuwa politicize ndio maana watu wengi hatuisapoti. Timu ya CCM na serikali yake ovu. Mfungwe tu ninyi machawa.
 
Hii kama ni Laana vile, mambo yakihusishwa na Kelele Tu basi hatutoboi, watu walishaanza serikali ya mama blah blah, kwanini wasifunge mabakuli Yao machafu yanatia nuksi, tungefungwa bila kutia maneno ya uchawa pia ingekuwa ni ahueni, madogo wanagawanywa sasa kwasababu ya siasa.
 
These machawa are mother fuckers, ndo hata kwenye timu vilabu, uchawa tu. *** em all. Waliharibu rhythm from the start.
Saiz watakuja na mapambio badala watumie hiyo pesa kuwa weka madogo kwenye academy, kunolewa kama hazina ya taifa.
 
Huyu makonda mbona ana bwatuka sana?
Unamkatazaje mchezaji kusajiliwa na timu kubwa?
Kama ana uwezo atapngwa tu.
Mbona wale wazanzibar wa yanga wanacheza?
Jamaa halijii kabisa mipaka ya kazi
 
Bora efungwa
Wehu wakubwa nyie
Timu ya taifa inacheza unapeleka wabunge ?
Hivi mlianza lini kujua mpira nyie
Kenge kabisa Bora Senegal wameshinda mngetusumbua sana na siasa zenu za uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…