Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Ama kweli Mungu sio wa upande mmoja.!
 

jifari mkuu,sisi mbele kwa mbele
 

Haya sasa mzee wa tambo,mbwembwe leo umeangukia pua.
Tunaomba ulete hizo something nonino zikatwe vipande vipande basi?
Na huko kwenye kamati ya ufundi jitoe tu.
Inashangaza kijana unayejitapa msomi huku bado unategemea NDUMBA hadi karne hii.
Mimi naushauri hii ni dalili ya mambo yako kubuma,jiandae tu kupakatwa tena hapo October!
 
Tunamsubiri azam ashikishwe discipline

Mkuu sisi hata Azam sidhani kama tutawaweza, timu yetu bado ina mapungufu hasa beki na upande wa ushambuliaji na kilichosaidia ionekane kuhimili ni kujaza viungo wengi ndo maana Yanga walipokuwa wakiingia kwenye 18 mabeki walikuwa wakipata tabu sana.
 

Mpira magoli mkuu sio kitabu. Haya basi huo mpira wenu wa kwenye kitabu mliocheza inabidi hizi goli 2 tuwape nyie maana ndio mlistahili kushinda. FULL TIME Simba 2 Yanga 0. Simba imeshinda kwa soka la kitabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…