Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Kwa Azam naona kama hali itakuwa ile ile, ila kwa sababu mpira ni pamoja na bahati pengine bahati inaweza kuwa upande wetu siku hiyo.
Ama kweli Mungu sio wa upande mmoja.!
Nilitabiri hili tokea mapema...raha sana kuwa shabiki wa Yanga,muda wote unajiamini.
Mkuu sisi hata Azam sidhani kama tutawaweza, timu yetu bado ina mapungufu hasa beki na upande wa ushambuliaji na kilichosaidia ionekane kuhimili ni kujaza viungo wengi ndo maana Yanga walipokuwa wakiingia kwenye 18 mabeki walikuwa wakipata tabu sana.
Sijifariji, nakwambia ukweli, sio kwamba mmetuacha point nne, ni mchezo mmoja tu!
Tungeshinda ina maana tungekuwa ni wazuri kuliko nyie ndo maana ingekuwa vigumu kuona mapungufu.Ila mngeshinda sidhani kama huu upungufu mngeuona. Taratibu mnaanza kujitoa kasoro, mwisho mtarudi tena na ile kauli yenu kuwa bado mnajenga timu.
Hongereni sana, ngoja tujipange kwenye mechi zinazofuata, Singano na Okwi tutawakumbuka sana.
Half time 1-0....hadi sasa umepakatwa,tulia maana ukihangaika tunaongeza lingine.
Eti TWAWEZA walitoa ripoti kuwa Simba atashinda leo...
Teh teh!!!
Maskini akipata matko hulia mbwata mbwata
Simba ina wachezaji wawili tu ninao wakumbuka katika historia:
(1) Duwa Said - Local player
(2) Emmanuel Okwi - International player
Waliobaki ni wa normal sana.
Simba ina wachezaji wawili tu ninao wakumbuka katika historia:
(1) Duwa Said - Local player
(2) Emmanuel Okwi - International player
Waliobaki ni wa normal sana.
Kwa kuonesha ni jinsi gani hujajiandaa kisaikolijia umeshatoka online!
Katika mashabiki wa mikia ninaowaoneaga huruma wewe ni mmojawapo!
Eti TWAWEZA walitoa ripoti kuwa Simba atashinda leo...
Teh teh!!!
Mkuu nadhani utakuwa unamanisha wale waliokuwa wakisumbua beki zenu, lakini huwezi kusahau vipaji kama Emmanuel Gabriel, Ulimboka Mwakingwe, George Masatu, Selemani Matola, Madaraka Selemani, Joseph Kaniki, Athumani Machupa na wengine wengi tu.
Kwenye mechi kama hii, pointi siyo issue kabisa; issue to reclaim your shame in liue of glory.
kWA RAHA ZETU LEO