Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Msumari inchi 56 mpaka maini yaungue....goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kiiiza anaweka kiza kwa tambwee hapa...wanyama 3 kandambili 0
 
Yanga tuko vizuri sana msimu huu..Huyu mnyama tunamchinja mapemaaaa
 
Simba leo tunafunga mtu taratibuuuuuuuuuuuu
 
Tutawapiga tu...hakuna namna nyingine...lazima wapigwe
 
Aisee mnyama anamtafuna yanga chali....



:shetani::shetani::shetani:
 
Mbumbumbu fc lazima wacharazwe bakora za kutosha
 

Wewe ni shabiki tu lakini viongozi na kwa maana ya viongozi wanaojitambua habari ya TZ kwao ni UKAWA tu. Juzi kwenye fundraising ya UKAWA nilimuona kiongozi mmoja wa mikia ndani ya nyumba. Nilimpenda, japo mikia siipendi.
 
Can't wait kuona mikia wakipokea kipigo cha mbwa mwizi!
Wapi popoma GENTAMYCINE?Jiandae mapema kunyonyolewa.

Simba IKIFUNGWA Leo Naweka Hadharani Nanihiii Something Yangu Ikatwe Vipande Vipande. Na Mshukuru Sana Huyo Mganga Wenu Mzee Majid Wa Pemba Kaweza Kujitahidi Kupunguza Idadi Ya Magoli Kutoka Goli 7 Tulizopanga Kuwafungeni Leo Na Badala Yake Tutawafunga Goli 2 - 0 au 1 - 0. Mchezo Tumeshaumaliza Alfajiri Ya Leo Na Wale Makomandoo Wa Yanga Watawaambieni Tulichowafanya Usiku Wa Saa 8 Leo Pale Taifa Mpaka Wakaomba Msaada Wa Police. Leo Tusipowafunga Hayo Magoli Niliyowaambieni Hapo Naandika Rasmi Barua Ya Kujitoa Ktk Kamati Ya UFUNDI Ya Simba Sports Club. Na Yanga Mlivyo Na Matatizo Leo Mzigo Wote ( HIRIZI ) Mmempa Beki Wenu Wa Kushoto Haji Mwinyi Na Sisi Baada Ya Kulijua Hilo Nasi Tumefanya KAFARA La Kufa Mtu Na Mkifanya Mzaha Leo Wana Yanga Mtawabeba Wengi Mno Taifa Kwa Kuzimia Na Hata Kufa Kabisa. Simba Sasa Hivi HATUTANII Kwani MAMBO Ya KIUFUNDI Tunayafanya Kwa UHAKIKA. Nawakumbusheni Tu Kuwa Baada Ya Mechi Msisahau Kukumbuka Kwenda Kumfukua Huyu Mzee Wenu Idrisa Mliyemzika Nusu Bagamoyo Kwani Saa 12 Maji Ya Bahari Yanaanza Kurudi Na Kujaa. Nisalimieni Sana Mchawi Wenu Mkubwa Mzee Bhinda Na Mwambieni Kuwa Gentamycine Namwomba Baada Ya Mechi Tu Aje Mango Garden Nimtoe Mawazo Ya Kufungwa Na Mnyama. Otherwise Tunamshukuru Mno Beki Yenu Namba 4 Kwa Kutusaidia KUFANIKISHA TULICHOKITAKA Kwenu Japo MLIJIFANYA KUMNYANG'ANYA SIMU Lakini Kwa UMAFIA Wa Simba TULIWEZA KUFANYA Nae MIKAKATI Na Tumeshamalizana Nae Na Kuna UWEZEKANO Kati Yake Yeye au Mtoto Wa Kagame Mido Mmoja Wapo AKACHEZA RAFU YA MAKUSUDI Ili Atolewe Mnyama TUMALIZE MECHI Mapema. Poleni Sana MAKOMANDOO Wa Yanga Mliojifanya MNALINDA Uwanja Leo USIKU Na Hicho TULICHOWAFANYIENI Mkawasimulie Na Wanayanga Wenzenu. Bado Azam Na Wao!
 
Kama Vile Lowassa Atakavyochinjwa October 25, 2015.

Atachinjwaje na huku yupo wima? Wa kuchinjwa ni Makomeo ambaye tayari amehitimu kulala chini kipush up kuelekea kibla. Nina usongo nae!!!!!!
 
Mimi ni Shabiki wa Kutupwa wa Yanga lakini leo Simba atuachi. Lazima tufungwe 3-0 na Kiiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…