Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupo makini,ole wake MakambaUkawa wako wapi hapo!
Mnyama lazima achinjwe
sitaki niifananishe timu yoyote na ukawa maana viongozi wa hizo timu wote ni waadilifu kuinanisha timu yoyote na ukawa ni sawa na kuitunia viongozi wake
mimi ni wa simba sitaki kufananishwa na wezi,walanguzi,na mafisadi papa wa ukawa labda kama ninyi watani zangu wa yanga ndo muwe ukawa
Tuko pamoja shem wangu,ndio maana tunapendana namna hii.
Na mimi Yanga lia lia
Can't wait kuona mikia wakipokea kipigo cha mbwa mwizi!
Wapi popoma GENTAMYCINE?Jiandae mapema kunyonyolewa.
Kama Vile Lowassa Atakavyochinjwa October 25, 2015.