uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Match Day
Simba SC vs Bravos do Maquis FC
Time 1600hrs
Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
#Nguvumoja
Updates...
1'
Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos.
3'
Game on
0-0
7'
Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi.
Wanashindwa kudhibiti mpira hapa.
0-0
9'
Ahoua anakosa goli zuri hapa.
Simba wanatawala sana mpira.
0-0
11'
Ahoua tena anakosa, anaipiga nje kidogo ya 18.
Inakuwa goal kick.
0-0
15'
Kibuuu anakosa goli hapa.
Inapangulia na kipa wa Bravos.
0-0
19'
Simba wanapata kona ya kwanza kwenye mchezo, anaanza Chasambi na kona fupi.
Haizai matunda.
Game On
0-0
23'
Simba anapata kona ya pili inapigwa inatolewa kwa kichwa.
Goal kick
0-0
25'
Penaaati.
Simba wanapata Penalty baada ya mchezaji wa Bravos kuunawa mpira ndani ya box.
Anapiga Ahoua
Goooooooooooal....
Ni goli la kwanza.
Chuma cha moto
1-0
30'
COOLING BREAK
1-0
32'
Game On...
Mpira umiliki uko kwa Simba,
Bado Bravos wanacheza kwa kujilinda sana.
1-0
36'
Simba wanapata kona hapa.
Inapigwa, Mukwala anapiga kichwa inakuwa goal kick.
1-0
39'
Game on, bado Simba wanamiliki mpira, wanapotea kidogo hapa.
1-0
42'
Mukwalaaaaaa daah mpira unaenda nje.
Amekosa goli la wazi kabisa hapa.
Namna gani hapa.
Aisee ni balaa sana hapa.
1-0
45'
Dakika za Nyongeza ni 2.
Game On
1-0
HT
Simba 1- 0 Bravos
===========================
Updates 2nd Half.
46'
Bravos wametengeza jaribio zuri.
Wanapa kona.
Kunafanyika madhambi hapa.
Bravos wanapata Penalty.
Kibu Denis anafanya faulo.
47'
Bravos wanapata penalty hapa.
Wanapiga Imedakwaaaaaaa.
Wamekosa penalty hapa.
Pin Pin Camara Spider Man. Anaidaka kwa kuikumbatia kabisa.
1-0
49'
Bravos wanapata kona hapa, inapigwa haizai matunda kabisa.
1-0
53'
Mpira unaendelea hadi sasa umiliki ni kwa Simba.
Wanapata faulo nje kidogo ya 18.
Inapigwa na Ahoua inababatiza inakuwa kona.
Simba wanapiga kona, inachezwa kwa kichwa ina toka nje.
1-0
56'
Camara anafaya save nzuri sana.
mfululizo.
Bravos wanaonekana kuongeza kasi sasa.
58'
Camara anapatia matibabu kidogo baada ya kupata injury mkononi.
mpira umesimama hapa.
1-0
60'
Mukwala anakosa nafasi ya wazi tena.
Simba wanapata faulo nje ya 18.
Wakati huo wanafanya Sub.
Kibu D Out
Mutale Inn
Okjepha Out
Debora Mavambo Inn
Game on
1-0
63'
Simba anapata kona Mutale anapiga inatoka nje
1-0
65'
Mutaleeee anapiga nje hapa.
Good move wanafanya Simba.
Chasambi anàpoteza mpira.
66'
Simba wanafanya shambulizi kali langoni kwa Bravos inakuwa kona.
Inapigwa Hamza anapiga kichwa kipa anaidaka.
Game On
1-0
69'
Bravos wanafanya Substitution Tatu hapa.
Wanatoka watatu, wanaingia watatu.
Game On
1-0
Mpira unamgonga refa.
71'
Game On, Bravos wameamua kufunguka sasa. tofauti na walivyoanza.
74'
Chasambi anafanyiwa faulo hapa.
Simba wanafanya Sub.
Mukwala Out
Balua Inn
Ahoua Out
Ateba Inn
1-0
75'
COOLING BREAK
1-0
77'
Inapigwa free kick na Balua Wanapoteza
Simba
1-0
78'
Bravos wanafanya mabadiliko.
tena.
Game On
1-0.
79'
Bravos wanafanya shambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Simba.
anapiga Acrobatic moja hapa mchezaji wa Bravos bahati mbaya kwake inakuwa off target.
1-0
82'
Bravos wanafanya jaribio nzuri kabisa hapa, ila mpira unapiga nyavu za pembeni kwenye lango la Simba.
1-0
83'
Bravos wanafanya mabadiliko tena.
Hapa.
game on
1-0
85'
Bravos wanafanya shambulizi lingine, Che Malone anaenda kutibua mipango. Inakuwa goal kick.
86'
Ateba anafanya shambulizi hapa.
Wanachanganya na Balua.
Ladack Chasambi anatoka kwa msaada wa machela.
Nafasi yake inachukuliwa na Mzamiru Yasini.
1-0
90'
Ateba anafanya madhambi nje kidogo ya Lango la Simba.
Bravos wanapiga free kick.
Anaidaka Camara kwa uimara mkubwa sana.
Game on
1-0.
Dakika za Nyongeza ni 4.
90+2'
Mpira unaendelea Bravos wanaimarika dakika za mwishoni kabisa hapa.
90+3'
Bravos wanashambulia kwa kasi.
simba wanapoteza nafasi hapa.
Mutale na Ateba.
90+4'
Full Time
Simba 1 - 0 Bravos