Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

1727413885745.png
 
Bravos siyo kitu mbele ya Simba ambo nina imani watawachapa mabao siyo chini ya mawili. Kinachonisumbua akilini ni jinsi Yanga tutakavyoendelea kuzomewa. Yaani tunapata nafasi tisa halafu tunashindwa kufunga hata bao moja?
 
Taratibu akili zitawakaa tu vizuri, naubovu wote wa simba miaka ya hivi karibuni haijawahi kupoteza game ya kimataifa dhidi ya ibenge na timu mbovu mbovu kama al hilal,: naona sasa hamtoi zile ahadi za simba akishinda upigwe ban kwani wakubwa wamekuwa wakiwatendea haki baada ya game. Ipo siku kila mtu ataishabikia simba.
uliwaona kuwa ni wabovu lakini ujuwe ukienda kichwa kichwa manundu tu. Kama kulwa.
 
Hii team imefanya makosa inafika masaa 18 before game na inaenda kucheza na mnyma mpaka naionea huruma ikavavyo chakazwa
Walichagua kufanya kila kitu wakiwa kwao.
Mbinu yakishamba sana.

Wenzao waarabu huwa wanauoga huu ila hawa wamezidi aisee
 
Bravos siyo kitu mbele ya Simba ambo nina imani watawachapa mabao siyo chini ya mawiili. Kinachonisumbua akilini ni jinsi Yanga tutakavyoendelea kuzomewa. Yaanui tunapata nafasi tisa halafu tunashindwa kufunga hata bao moja?
Kwani mlikuwa mmejipanga kushinda?

Kule Algeria mnasubiriwa kwa hamu sana
 
Back
Top Bottom