Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Yani una gunduu jamani hadi huruma...Makolo wakandwe tu...hakuna namna[emoji23][emoji23]
Mechi tati mfululu sijui hali yako ikoje
Mwautopolo mwee mweee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani una gunduu jamani hadi huruma...Makolo wakandwe tu...hakuna namna[emoji23][emoji23]
Umefuatilia match zingne au unaongea tu...Vibonde walikandwa jana.
Ndio timu pekee iliyofungwa nyumbani kwake hapo jana.
Aibuu jamani!!
Kipigo kipi kili kushenyeta kati ya hivi:Haya mashindano yanahusu nini? Hizo timu sijui Bravos, Simba sijui constantine zinatoka wapi? mshindi anachukua mbuzi au gunia la maharage? Nina timu yangu huku Bunju ninaruhusiwa kujiandikisha?
Mimba ya Al Hilal inakusumbuaLeo ni siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Mechi za CAF zimechezwa jana, EPUKA MATAPELI
SIMBA will show his greatness❤❤❤
Wewe unajitambuaMm yanga damu ila naitakia Simba ushindi
Mwaka 1993 timu ya Sportivo Club Aviacao ya huko huko Angola nao walifanya kitu kama hicho kwenye kombe la CAF.Walichagua kufanya kila kitu wakiwa kwao.
Mbinu yakishamba sana.
Wenzao waarabu huwa wanauoga huu ila hawa wamezidi aisee
Jikite shirikisho la wanawake 😀Mimba ya Al Hilal inakusumbua