Timu mbovu ziko shirikisho ungekuwa Bora ungecheza klabu bingwa kwenye timu Bora,,Al hilal wako klabu bingwa wewe upo shirikisho sijui timu Bora ni ipi hapo!Taratibu akili zitawakaa tu vizuri, naubovu wote wa simba miaka ya hivi karibuni haijawahi kupoteza game ya kimataifa dhidi ya ibenge na timu mbovu mbovu kama al hilal,: naona sasa hamtoi zile ahadi za simba akishinda upigwe ban kwani wakubwa wamekuwa wakiwatendea haki baada ya game. Ipo siku kila mtu ataishabikia simba.