Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kama ulivyokandwa janaMakolo wakandwe tu...hakuna namna[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulivyokandwa janaMakolo wakandwe tu...hakuna namna[emoji23][emoji23]
Naendelea vizuri sana kakaMtani mambo vipi?
How do you feel the pain?
sorry for my poor English
Exactly 💯 😃Is pain less now?
Simba atashinda hii mechi
Makolo wakandwe tu...hakuna namna[emoji23][emoji23]
Umetisha sana.Hawa ni mashabiki
View attachment 3162646
View attachment 3162655
Na huyu ni Afisa Habari wao
View attachment 3162653
Na huyu ni former kocha wao
View attachment 3162656
Na hawa ndio wachezaji wao
View attachment 3162654
Na huyu ndio striker wao kinda
View attachment 3162658
Then watumbuizaji na wakata viuno wa hii bendi wakifungwa mechi eti wanaona hawakustahili kupata matokeo ya aina hiyo.
Kitanuka leo mtani....
Mablich blich Fc...Kila la heri kwa Mnyama Mkubwa mwituni🦁🦁🦁
Piga 3-0 hao Bravo turudishe heshima ya nchi iliyochafuliwa na wahuni UtopoloView attachment 3162625