Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Haya mashindano yanahusu nini? Hizo timu sijui Bravos, Simba sijui constantine zinatoka wapi? mshindi anachukua mbuzi au gunia la maharage? Nina timu yangu huku Bunju ninaruhusiwa kujiandikisha?
Kipigo kipi kili kushenyeta kati ya hivi:
Azam 1
Al hilal 2
Tabora 3
Chapi toa jibu nikupe zawadi
 
Leo ni siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Mechi za CAF zimechezwa jana, EPUKA MATAPELI
 
Walichagua kufanya kila kitu wakiwa kwao.
Mbinu yakishamba sana.

Wenzao waarabu huwa wanauoga huu ila hawa wamezidi aisee
Mwaka 1993 timu ya Sportivo Club Aviacao ya huko huko Angola nao walifanya kitu kama hicho kwenye kombe la CAF.
Walifika dar masaa 24 kabla ya mechi, lakini haikuwasaidia walipigwa bao 3-1 safi.
 
Back
Top Bottom