Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Hii game Simba wanashinda kwa hawa vibonde

kama unabet weka kodi ya miezi 6 Simba kushinda utanishukuru baadae
Hata Al Hilal mlisema ni vibonde na mlishangilia sana kupangwa kundi moja nao matokeo yake wamewamanua kikatili sana
 
Yes tunaongoza. Ila kiwango kibovu mno mno.
Mabadiliko ya wachezaji na aina ya uchezaji yanatakiwa yafanyike.
HT
Ila Tumecheza vibaya. Tofauti yetu na vyura ni uwezo wa kufunga.
Ukweli usemwe,Simba hakuna timu


Mmepotea sana nyi ndugu zetu Utopolo..!

Msisuse, kufungwa jana ni Jambo La kawaida.

Kuhusu hii Simba kucheza vibaya, tuwavumilie tu kwanza bado timu yenyewe hapa tunapoiona 'HAINA MUUNGANIKO'....! sio mimi ila Wachambuzi hii ndo Kauli yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…