Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Mmepotea sana nyi ndugu zetu Utopolo..!

Msisuse, kufungwa jana ni Jambo La kawaida.

Kuhusu hii Simba kucheza vibaya, tuwavumilie tu kwanza bado timu yenyewe hapa tunapoiona 'HAINA MUUNGANIKO'....! sio mimi ila Wachambuzi hii ndo Kauli yao...
Muunganiko kwani imekua kachumbari?
 
Mmepotea sana nyi ndugu zetu Utopolo..!

Msisuse, kufungwa jana ni Jambo La kawaida.

Kuhusu hii Simba kucheza vibaya, tuwavumilie tu kwanza bado timu yenyewe hapa tunapoiona 'HAINA MUUNGANIKO'....! sio mimi ila Wachambuzi hii ndo Kauli yao...
Siipendi utopolo halafu ina jina la ajabu mno. Yanga. Jina lipo kama jina la mizizi ya wahenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…