John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Sasa hao bravos wamefanya shambulizi gani kipindi cha kwanza....kuna namna kile kichapo cha jana kimewafanya watu wawehuke🤣Mmekoswakoswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hao bravos wamefanya shambulizi gani kipindi cha kwanza....kuna namna kile kichapo cha jana kimewafanya watu wawehuke🤣Mmekoswakoswa
Atoke nani?Ingiza Ateba na Mavambo, kuna goli 2
🤣🤣🤣Kolo walijua watajaza ni mwendo wa mapengo tu
Muunganiko kwani imekua kachumbari?Mmepotea sana nyi ndugu zetu Utopolo..!
Msisuse, kufungwa jana ni Jambo La kawaida.
Kuhusu hii Simba kucheza vibaya, tuwavumilie tu kwanza bado timu yenyewe hapa tunapoiona 'HAINA MUUNGANIKO'....! sio mimi ila Wachambuzi hii ndo Kauli yao...
Siipendi utopolo halafu ina jina la ajabu mno. Yanga. Jina lipo kama jina la mizizi ya wahenga.Mmepotea sana nyi ndugu zetu Utopolo..!
Msisuse, kufungwa jana ni Jambo La kawaida.
Kuhusu hii Simba kucheza vibaya, tuwavumilie tu kwanza bado timu yenyewe hapa tunapoiona 'HAINA MUUNGANIKO'....! sio mimi ila Wachambuzi hii ndo Kauli yao...
Na goli linarudiMshukuru sana mmepata penati
YeeesIngiza Ateba na Mavambo, kuna goli 2
Salama mkuu.Komeo Lachuma ndio sababu hadi leo niko banned DR SANTOS
Tokea wapiGoli linarudi
Unapigia mbuzi gitaa. Anadhani penati refa anakupa tu kama andaziMdau inamaana hata huoni umaridadi wetu?
Tunauchapa mwingi sana leo.
Ball tamu.
Sema kuna namna Ngoma mara mbili kakabia macho
Haitakiwi kabisa ile.
Otherwise tuko vizuri mno
kachome sindano ya kuzuia mimba kama timu yako ya utopolo inavyofanyaMuunganiko kwani imekua kachumbari?
Vibonde tutawapiga mkono kwa mujibu wa MwamnyetoKwahiyo ndugu zetu kama sio ile penalty ingekuwa bilabila kwa hawa vibonde?