Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Kwenye swala la ukabaji msimu huu. Simba Sc wanaonyesha mabadiliko makubwa sana, ila kwenye utengenezaji wa mashambulizi ni HOVYO sana kutokana aina ya wachezaji tulio nao huko mbele.
 
Ndugu mwaznisha thread uran unafanya kazi nzuri sana ya kutoa updates za huu mtanange. Hongera. Wengine huwa wanaanzisha halafu wanatokomea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…