Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kikubwa tumshukuru Mungu tuneshinda💪🏿🙏🏾Kwa kifupi Sana Leo Simba imeangushwa na viungo
NGOMA Leo kascheza chini ya kiwango ila naona watu wengi hawalizungumzii hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa tumshukuru Mungu tuneshinda💪🏿🙏🏾Kwa kifupi Sana Leo Simba imeangushwa na viungo
NGOMA Leo kascheza chini ya kiwango ila naona watu wengi hawalizungumzii hilo
Ukiona match anaanza Ngoma ujue itakuwa ya taratibu sana. Ndicho kilichotokeaNa sioni kama anajua "Chemistry" ya wachezaji wake. Na anampenda Fabrice Ngoma lakini Ngoma kwa sasa si mchezaji wa kutegemea.
Halafu style ya.kucheza ya Mutale na Chasambi ni ya kizamani Sana. Ila yeye anapenda style hiyo.
ingia wewe umepewa panalty hujui unapigajeTumbo joto kwa mbinde gemu ni 0-0 goli la Simba wamepewa na refa
Hilo tumeliona Wote.. Litafanyiwa KaziNadhani Simba inashinda Kwa sababu "backline" yake Iko vizuri. Lakini pale mbele Bado sana.
Nahisi Balua, Mukwala na Mutale Kila mmoja anatamani afunge ili wawe "Mashujaa" wa Simba.Matokeo yake sehemu ya kutoa pasi, wao wanataka kufunga.
Subiri muende mkachezee kichapo huko AngolaNdiyo hivyo tumepata point 3 na nyie mumelambishwa nyasi kama watoto wadogo.
Kabisa mkuu mapambano ya kamara yametuepusha na aibu ile penat na ile faulo ni magoli ya wazi kabisa lkn wachezaji ndan hakuna kituTumepata point tatu, ila hii ni moja kati ya mechi za kimataifa tuliowahi kucheza kipumbavu zaidi tukiwa home ground.
Sema kocha leo kazingua hatari.Yani Chasambi anacheza dakika 80+ Captain Lucho yuko nje? Okejefah alikuwa na game nzuri, unamtoa unamuingiza Mutale kweli?... Kuna muda makocha huwa wanarogwa eeh?
UTO anadhani ni mtoano😄😄. Point tatu kibindoni ndio lengo hayo mengine Yakija Sawa. Haya sio mashindano ya 5 G.😂😂Points 9 za nyumbani kati ya Points zote 18 ni Lzm zibaki hapa nyumbani..!
Halafu huko nje Ukifanya Maokoto yoyote ya Points unajazilizia...!
Hizi ndizo hesabu hatua hii ya Makundi.
Sasa nyi Utopolo mmekomaa kichwa mumpige Al Hilal 5 zimewatokea puani..
Mmejitahidi mtaniMdau inamaana hata huoni umaridadi wetu?
Tunauchapa mwingi sana leo.
Ball tamu.
Sema kuna namna Ngoma mara mbili kakabia macho
Haitakiwi kabisa ile.
Otherwise tuko vizuri mno
Yeye na Mohamed Hussein ni mabingwa wa "Back passes". Hana ubunifu wa kuipenya ngome ya mpinzani, ingawa ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pasi za uhakika (Accurate passes) akiwa peke yake akiwa hajakabwa.Ukiona match anaanza Ngoma ujue itakuwa ya taratibu sana. Ndicho kilichotokea
ingia ukawaunganisheTumeshinda ila timu haina muunganiko kabisa.
Wale jamaa wameniangusha sana kukosa ile penatiNa goli linarudi
Ongeza na chasambi, kipindi cha kwanza alikuwa anatafuta kuonekana sanaNadhani Simba inashinda Kwa sababu "backline" yake Iko vizuri. Lakini pale mbele Bado sana.
Nahisi Balua, Mukwala na Mutale Kila mmoja anatamani afunge ili wawe "Mashujaa" wa Simba.Matokeo yake sehemu ya kutoa pasi, wao wanataka kufunga.
Kuna yale magoli mawili waliyokosa pia wameniangusha sana hawa Kolo walikua wanakufa 3Wale jamaa wameniangusha sana kukosa ile penati