Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Na sioni kama anajua "Chemistry" ya wachezaji wake. Na anampenda Fabrice Ngoma lakini Ngoma kwa sasa si mchezaji wa kutegemea.

Halafu style ya.kucheza ya Mutale na Chasambi ni ya kizamani Sana. Ila yeye anapenda style hiyo.
Ukiona match anaanza Ngoma ujue itakuwa ya taratibu sana. Ndicho kilichotokea
 
Nadhani Simba inashinda Kwa sababu "backline" yake Iko vizuri. Lakini pale mbele Bado sana.

Nahisi Balua, Mukwala na Mutale Kila mmoja anatamani afunge ili wawe "Mashujaa" wa Simba.Matokeo yake sehemu ya kutoa pasi, wao wanataka kufunga.
Hilo tumeliona Wote.. Litafanyiwa Kazi
 
Tumepata point tatu, ila hii ni moja kati ya mechi za kimataifa tuliowahi kucheza kipumbavu zaidi tukiwa home ground.
Kabisa mkuu mapambano ya kamara yametuepusha na aibu ile penat na ile faulo ni magoli ya wazi kabisa lkn wachezaji ndan hakuna kitu
 
Yani Chasambi anacheza dakika 80+ Captain Lucho yuko nje? Okejefah alikuwa na game nzuri, unamtoa unamuingiza Mutale kweli?... Kuna muda makocha huwa wanarogwa eeh?
Sema kocha leo kazingua hatari.
 
Simba ni timu mbovu sijawahi kuona,wachezaji sio wazoefu yani mpira wa ovyo sana,hawajamaa watawafunga simba kwao wapo vi zuri sana,mashukuruni camara lasivyo leo ingekuwa aibu ya pili sio chini ya goli 3.simba hawatoboi makundi
 
Simba wamepata upinzani mkubwa zaidi kipindi cha pili. Timu haikuwa na mipango ya kupata goli kabisa kwa sababu ilikuwa ikicheza kwa kujilinda zaidi. Bravos ya Kipindi cha kwanza na cha pili ni tofauti kabisa

Camara PinPin alikuwa bora na makini akaisaidia Simba, Game Plan ya Kocha wa Simba nadhani haikwenda poa
 
Points 9 za nyumbani kati ya Points zote 18 ni Lzm zibaki hapa nyumbani..!

Halafu huko nje Ukifanya Maokoto yoyote ya Points unajazilizia...!

Hizi ndizo hesabu hatua hii ya Makundi.

Sasa nyi Utopolo mmekomaa kichwa mumpige Al Hilal 5 zimewatokea puani..
UTO anadhani ni mtoano😄😄. Point tatu kibindoni ndio lengo hayo mengine Yakija Sawa. Haya sio mashindano ya 5 G.😂😂
 
Mdau inamaana hata huoni umaridadi wetu?
Tunauchapa mwingi sana leo.
Ball tamu.
Sema kuna namna Ngoma mara mbili kakabia macho
Haitakiwi kabisa ile.
Otherwise tuko vizuri mno
Mmejitahidi mtani
 
Ukiona match anaanza Ngoma ujue itakuwa ya taratibu sana. Ndicho kilichotokea
Yeye na Mohamed Hussein ni mabingwa wa "Back passes". Hana ubunifu wa kuipenya ngome ya mpinzani, ingawa ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pasi za uhakika (Accurate passes) akiwa peke yake akiwa hajakabwa.
 
Nadhani Simba inashinda Kwa sababu "backline" yake Iko vizuri. Lakini pale mbele Bado sana.

Nahisi Balua, Mukwala na Mutale Kila mmoja anatamani afunge ili wawe "Mashujaa" wa Simba.Matokeo yake sehemu ya kutoa pasi, wao wanataka kufunga.
Ongeza na chasambi, kipindi cha kwanza alikuwa anatafuta kuonekana sana
 
Back
Top Bottom