Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwani mashabiki wamemaliza kupiga kura ?...Tumeshindwa kujaza uwanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mashabiki wamemaliza kupiga kura ?...Tumeshindwa kujaza uwanja.
Soon wanafumuliwaSimba wanahitaji utulivu kidogo tu
Jamani ngapi ngapi huko
Radio Tanzania, Old streamMwenye link ya live streaming
Timu mdebwedo washindwe wao tu
Mbona kauli zako Mr. Utopwinyo zinapingana?Jamaa wana kipa mtata hakuna goli leo labda mpewe benati ya ubwela
WatafungwaAisee,
Simba wanakosa utulivu yaan wakituliza pressure magoli 7 nayaona ya wazi.
Najikuta natamani hata kuingia uwanjani.
Simba guvu moja
Tulia wewe kinyumenyume FCMbona kauli zako Mr. Utopwinyo zinapingana?
Yah,Simba wanahitaji utulivu kidogo tu
Hakuna kitu hamfungi hata ramadhaniTunawakosa kosa hawa
Ila ni wakwetu tuuh!
Sasa mpira ushaanza mkuuKwani mashabiki wamemaliza kupiga kura ?...
Kocha mnamleta uwanjani Kwa boda😀😆😃Tulia wewe kinyumenyume FC
Usikimbie siti mkuuHakuna kitu hamfungi hata ramadhani
Hakuna goli hata la mkonoYah,
Utulivu unaitajika yaan naona magoli kabisa yapo ya kutoshaa
Tulia wewe kinye FCKocha mnamleta uwanjani Kwa boda😀😆😃