Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ukitaka kujua utamu wa kushangilia goli la Penati, Muulize Kiazizi ugumu wa kufunga penati😃😆😀Huoni aibu kushangilia penalty Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kujua utamu wa kushangilia goli la Penati, Muulize Kiazizi ugumu wa kufunga penati😃😆😀Huoni aibu kushangilia penalty Mkuu?
Subiri uone goli wavuniUnaota we we eti!?
Simba waongozwe 2 kabla ya HT?Waongezwe fasta kabla ya HT
Wavu upi mkuu zipo nyingi!?Subiri uone goli wavuni
Goli linarudiAmka wewe usinziaye
Wavu wavuniWavu upi mkuu zipo nyingi!?
Chanika sio mbali kihivyo ungesema BagamoyoRefa Maliza Mpira wengine Tukaa Chanika
Sio papara tunataka mengi hata kama yote yakiwa ya penaltiesSImba wana papara sana golini
Subiri uone goli linarudini Diara mtupu
Hampati tena goli sana sana mtafungwaSio papara tunataka mengi hata kama yote yakiwa ya penalties
Nikisema Mimi wanabishaSimba wameshindwa kupata gori la kutengeneza hamna kitu hii timu