nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Nasikitika kukutaarifu kwamba tumedaka penati.Penaltii wanapata Bravos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika kukutaarifu kwamba tumedaka penati.Penaltii wanapata Bravos
Mliodhani kufunga Penati ni rahisi oneni Sasa!
Kufunga penalty sio rahisiKweli vijamaa ni vibonde, dah!
Punguza makasiriko😀😆😃Kweli vijamaa ni vibonde, dah!
Jamaa atadaka hata mshale ila tobo anapenda kweli kuachia.Ingekuwa kwa kipa wa jana ingepita kwenye tobo
Ha ha ha wangefunga ungeshangilia sana wakati ulidai penati siyo ya kushangiliaKweli vijamaa ni vibonde, dah!
Yeah walipata ila kufunga ikawa kipengeleNasikitika kukutaarifu kwamba tumedaka penati.