Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejionea wenyewe..Kufunga penalty sio rahisi
Kwa sababu anacheza na Simba. Ingekuwa wale wengine 0-3Kweli vijamaa ni vibonde, dah!
Kufunga penalty sio rahisi
Mmeona marudio? Kipa hakusimama kwenye mstari wakati penalty inapigwa, kaibia.Punguza makasiriko😀😆😃
Kwa hiyo inabidi irudiwe ?Mmeona marudio? Kipa hakusimama kwenye mstari wakati penalty inapigwa, kaibia.
Matokeo jePenalty kwa penalty, au vipi jamani?
Sawa.Mmeona marudio? Kipa hakusimama kwenye mstari wakati penalty inapigwa, kaibia.
Kwa hiyo turudieMmeona marudio? Kipa hakusimama kwenye mstari wakati penalty inapigwa, kaibia.
Sijui niache kuangalia? Mpira kama chandimu bwana.Hizi ndio timu zilizoko shirikisho nafikiri mnajionea,,penalty inapigwa kama vile anapigiwa mtoto🤣🤣
Atakuwa alishaandika kabisa 1 ilibakia ku submit tuKwahiyo moderator mlifuta zero kwa akili zenu mkajua Camara hawezi kudaka penati🤣View attachment 3163379
Wahuni 😃😃😃Kwahiyo moderator mlifuta zero kwa akili zenu mkajua Camara hawezi kudaka penati🤣View attachment 3163379
Mmeona marudio? Kipa hakusimama kwenye mstari wakati penalty inapigwa, kaibia.
Upewe kibendera irudiwe.Mmeona marudio? Kipa hakusimama kwenye mstari wakati penalty inapigwa, kaibia.
Kwa hiyo inabidi irudiwe ?
Matokeo je
Huku ni shirikisho hamna noma, ingekuwa CAFCL ngoma ingerudiwa.Kwa hiyo turudie
Kabisa.Hizi ndio timu zilizoko shirikisho nafikiri mnajionea,,penalty inapigwa kama vile anapigiwa mtoto🤣🤣