Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Hawa jamaa wanabutua tuu...ata huku sijui walifikajeTatizo kubwa team zetu hawana wachezaji wenye kufikiri haraka na kufanya maamuzi sahihi.
Hadi muda huu simba ilitakiwa iwe na bao 4 hivi
Simba isiposhinda itakuwa uzembe na aibu....japo mpira una matokeo ya kushangazaHawa jamaa ata pasi 4 mfululizo hawawezi
Kabisa aimba hiinmechi bado wana magoli mawili ya kufunga. Hawa jamaa hamna kituSimba isiposhinda itakuwa uzembe na aibu....japo mpira una matokeo ya kushangaza
Wabovu SanaHawa jamaa ata pasi 4 mfululizo hawawezi
Ila tushafungaShida ya Simba hawana mfungaji.
Viwango havieleweki hivi unaendaje uwanjani.full house imeadimika
Usishangae hii machi wakatoa draw, second half ndo wanakuwa wabovu zaidiSimba wanafanya utoto mwingi mpaka wanaboa
Kibu mzee wa mbioHawa Warabu wabovu,wamefungwa mpaka na Kibu mwaka na nusu hajafunga, Warabu wa Usoke.
Simba inacheza na Ihefu lkn wanashindws kuwabutuaHawa jamaa wanabutua tuu...ata huku sijui walifikaje