Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #241
Ngoma simuelewi kabisa.Ngoma atoke aingie Kagoma.
Wamefanya nini😀😄😃Unatuhimiza vipi kama mashabiki tutimize wajibu wetu wakuja uwanjani huku wachezaji wanachokifanya ndio hiki ambacho tunakiona??
Wanarukaruka tu yani kuna muda unawaona kabisa wamejisahau kama wapo uwanjaniWamefanya nini😀😄😃
Ya kwako club bingwa jana na mwenzie tipii madhembee yameaibisha clubHizi timu ndio maana zipo shirikisho